VIDEO: MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUDUMBUKIA KATIKA KISIMA CHA MAJI. - Rhevan Media

VIDEO: MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUDUMBUKIA KATIKA KISIMA CHA MAJI.

OLOOOOOMtoto Braiton Msingwa mwenye umri wa miaka miwili ,Mkazi wa kata ya MATARAWE iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, amefariki dunia baada ya kutumbukia katika kisima cha maji alipokuwa akijaribu kufuata mapera.Huyu hapa jirani wa familia ya msigwa anaelezea mkasa mzima.




Previous
Next Post »