MKURUGENZI MKUU WA UNEP AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA - Rhevan Media

MKURUGENZI MKUU WA UNEP AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

dek


Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP),Eric Solheim
akiwa na ujumbe wake wakifatilia mada iliyowasilishwa na Meneja wa
Baraza la Mazingira Kanda ya Kaskazini(NEMC)Novatus Mushi.

Mratibu
wa kitaifa wa UNEP nchini,Clara Makenya akizungumza jambo kwenye ziara
hiyo,kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha,Richard Kwitega na Mkuu
wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro.

Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na
Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP),Eric Solheim(kushoto
kwake) naa maafisa wengine wa UN pamoja na ofisi ya Mkuu wa mkoa.

Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(UNEP),Eric
Solheim(mwenye tai) akiangalia chanzo cha maji cha Mamlaka ya Maji Safi
na Usafi wa Mazingiri jijini Arusha(AUWSA)eneo la Olgilai Kata ya Kiutu
alikofika kuangalia uharibifu wa chanzo hicho.
Previous
Next Post »