MWANA FA : SINA MAPNGO WA KUFANYA KAZI NA LADY JAY DEE - Rhevan Media

MWANA FA : SINA MAPNGO WA KUFANYA KAZI NA LADY JAY DEE

Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
Previous
Next Post »