Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akifungua kikao cha
Wadau wa Elimu Mkoa wa Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.
Mrisho Gambo akishirikiana na wataalamu kuweka mitambo sawa kwa ajili ya
wadau wa Elimu kuwasilisha taarifa.
Viongozi wa Halmashauri ya Ngorongoro wakifuatilia Kikao cha Wadau
wa Elimu
Wadau wa Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Karatu
Kaimu Afisa Elimu Mkoa Ndg.
Emmanuel Mahondo akiwasilisha taarifa ya Elimu Mkoa wakati wa Kikao cha
wadau wa Elimu kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Sign up here with your email