Kamanda wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule nchini
Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo
ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na
kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto.
Kamanda wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule nchini
Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo
ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na
kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto,pamoja na Cathbeth Kajuna
Sign up here with your email