Gari lililombeba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa likipita kwenye daraja la bwawa la kuzalisha umeme Kituocha Kuzalisha Umeme cha Mtera kwenye mpaka wa mkowa Dodoma na Iringa Januari 19, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alifanya ziara fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) katika bwawa la Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Dodoma na Iringa wakati alipofanya ziara fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo Januari 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu kina cha maji kwenye bwawa la Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Dodoma na Iringa wakati alipofanya ziara fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo Januari 19, 2017. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kina cha maji kwenye bwawa la Kituo cha kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Dodoma na Iringa Januari 19, 2017. Kushoto ni Kaiu Meneja wa Kituo hicho, Mhandisi Edmund Seif.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kina cha maji kwenye bwawa la Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Mtera lililoko kwenye mpaka wa mkoa wa Iringa na Dodoma wakati alipokwenda kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo Januari 19, 2017, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sign up here with your email