Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anahojiwa na polisi kwa tuhuma za ruswa zinazomkabili.
Netanyahu
amekana kuhusika katika jambo hilo, huku akisema malalamiko
yanayotolewa kwa yeye kupokea zawadi kutoka kwa wafanyabiashara
mbalimbali ni uongo.Televisheni imewekwa nyumbani kwake kuonyesha wapelelezi hao wakimuhoji.
Tekelezo hilo ni kwa amri ya mwanasheria mkuu wa Israel.
Netanyahu na mke wake Sara wamehusishwa katika kashfa mbalimbali kipindi cha nyuma, ikiwemo tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za serikali.
Sign up here with your email