VIDEO : LILLIAN NDANSHAU ANG'ARA SWAHILI FASHION WEEK 2016 - Rhevan Media

VIDEO : LILLIAN NDANSHAU ANG'ARA SWAHILI FASHION WEEK 2016


 Mbunifu wa mavazi  anayekuja juu kwa kasi Lillian Ndanshau akishukuru watazamaji baada ya mavazi aliyobuni kuoneshwa na mamodo kwenye siku ya kwanza ya maonesho ya mavazi ya kila mwaka ya Swahili Fashion Week 2016 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam Ijumaa.  Mwaka jana Lillian, anayetumia lebo yake ya BONUZI  alishinda tuzo ya mbunifu anayakuja juu wa mwaka (Emerging designer of the year) Maonesho hayo, yanayoandaliwa na mbunifu wa mavazi nguli Mustafa Hassanali,  yameendelea usiku huu na yatafikia tamati kesho Jumapili usiku,


Previous
Next Post »