Ukubwa wa hekta 240, na kina watu 2000 waliosajiliwa na kupokea Huduma za Afya na Elimu bure, na nyumba na magari yao wote ni ya kifahari. Ndani ya kijiji hicho kuna ukumbi mkubwa sana unaweza kuwatosheleza wakazi wote ndani.
Ukiwa kama mkazi wa kijiji hicho, huruhusiwi kuongea na na waandishi wa habari na vile vile ni marufuku kucheza kamali na kutumia madawa yoyote ya kulevya. Kila mtu anafanya kazi siku zote saba za wiki na ukiamua kuondoka unapoteza kila kitu na kuondoka kama ulivyo.
Sign up here with your email