Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada
yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa
taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini
ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate
Video: