MAJALIWA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID, AKABIDHI PIKIPIKI 200 KWA VIJANA - Rhevan Media

MAJALIWA AKIHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID, AKABIDHI PIKIPIKI 200 KWA VIJANA

Waendesha bodaboda wa Arusha wakiingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha  kwa maandamano kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo leo Desemba 3, 2016



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja  wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



Pikipiki 200 walizokabidhiwa vijana wa Arusha ili wajiajiri leo
Previous
Next Post »