KAMPUNI YA GOOGLE YASTAKIWA - Rhevan Media

KAMPUNI YA GOOGLE YASTAKIWA

google
Kesi ya msingi iliyofunguliwa na meneja wa bidhaa ambaye alikataa kujitambulisha kwa majina siku ya Jumanne alilalamika kwamba kampuni ya Silicon Valley wanavunja sheria za kazi za jimbo la California kwa kupeleleza kwa siri sera za ajira za jimbo hilo kwa msaada wa Google.
Kesi hiyo inasema kampuni ya Google inawasaidia wafanyakazi kwa kuwapa siri za taarifa mbalimbali za sera na ajira na mahusiano kazini kinyume na sheria za ajira katika jimbo la California.
Taarifa hiyo imesema kwamba wafanyakazi wa Silicon Valley imewasaidia wafanyakazi wake kuandika Makala na vitabu na kukosoa sera za ajira za jimbo hilo kinyume na sheria za jimbo.
Katika kesi ya msingi hiyo inasema moja na sheria hizo ni kumfungulia mashtaka mwajiriwa ambaye atatoa siri za kampuni kwenye vyombo vya habari na kufungua mjadala kuhusu sheria hizo.  
Msemaji wa kampuni hiyo ya Google amebeza madai hayo ya kampuni hiyo katika taarifa yake kwenye tovuti amesema “tutapambana na kujilinda katika mashtaka haya na tutakuwa tayari na wawazi katika shauri hii na tutaendelea kuwasaidia wafanyakazi kupata taarifa muhimu katika biashara zao,” taarifa yake imesema
Kesi hiyo inasema kwamba kampuni hiyo ya Google imewaweka wafanyakazi katika wasiwasi mkubwa baada ya taarifa hizo kuvuja.
Previous
Next Post »