Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila anazidi kupokea shinikizo kimataifa
kutokana na hatua ya kukataa kuachia maamlaka baada ya muhula wake wa
kikatiba kukamilika jumatatu.
Ufaransa imesema itatuma ombi kwa umoja wa ulaya la kumwekea vikwazo iwapo ataendelea kushikilia maamlaka.Watu 20 wauawa katika maandamano DR Congo
Hali ya utulivu yerejea nchini DR Congo
Baraza jipya la mawaziri latangazwa DR Congo
Ujerumani imehairisha majadiliano ya kuipa DR Congo msaada wa miradi ya maendeleo.
Inaripotiwa kwamba utulivu umerejea nchini humo baada ya kushuhudiwa machafuko Jumatano, ambapo kulingana na Umoja wa Mataifa, takriban watu 20 waliuwawa.
Uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika mwaka huu, uliharishwa hadi mwaka 2018
Sign up here with your email