HABARI HIVI PUNDE : OFISI YA KIJIJI CHA MTYANGIMBOLE YA CHOMWA MOTO - RUVUMA - Rhevan Media

HABARI HIVI PUNDE : OFISI YA KIJIJI CHA MTYANGIMBOLE YA CHOMWA MOTO - RUVUMA


 Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeti   Mgema akionyesha moja ya sehemu ambayo moto bado unawaka .
 Hiyo ndiyo hali halisi ya ofisi jinsi ilivyoungua kwa ndani
 Nyaraka za serikali ya kijiji cha Mtyangimbole zikiwa zimeteketea kwa moto na kubaki majivu tu.
 Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya madaba Shafii Mpenda wa kwanza kushoto akiwa anafatilia jambo katika mkutano wa wanakijiji ambao ulifanyika baada ya kumaliza kuzima moto
Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeti   Mgemaakizungumza na wakazi wa kijiji cha Mtyangimbole  baada ya zoezi la kuzima moto kumalizika. Kwa undani wa habari hii angalia hiyo video. (Habari na RUVUMA TV)



Previous
Next Post »