BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AVUTIWA NA HUDUMA ZA MAHALA PAMOJA ZA TIC - Rhevan Media

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AVUTIWA NA HUDUMA ZA MAHALA PAMOJA ZA TIC


Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Sarah Cooke (katikati) akionyesha kitu kwa Uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati alipotembelea sehemu ya Huduma za Mahala Pamoja za Kituo hicho hivi karibuni. Balozi huyo alifurahishwa na kuvutiwa na huduma zitolewazo na TIC chini ya mahala pamoja kwani zinasaidia kuondoa usumbufu kwa wawekezaji. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo hicho, Prof. Lucian Msambichaka na kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Clifford Tandari. Wengine ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wawekezaji wa Kituo cha TIC, Nakuala Senzia (kulia) pamoja na Dr. Shayo ambaye ni mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya TIC
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Sarah Cooke akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Clifford Tandari



Previous
Next Post »