ANDER HERRERA: MATOKEO YA SULUHU MFULULIZO NYUMBANI HAYATUTENDEI HAKI - Rhevan Media

ANDER HERRERA: MATOKEO YA SULUHU MFULULIZO NYUMBANI HAYATUTENDEI HAKI

Mchezaji wa klabu ya Manchester United Ander Herrera amesema kwamba mwendo mbaya wa matokeo ya suluhu nne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumbani wa Old Trafford.
herrera-1
Rekodi hiyo ambayo iliwekwa mara ya mwisho mwaka 1980 haiwatendei haki kutokana na kiwango kikubwa ambacho wanaonesha lakini hawapati ushindi dimbani alesema Herrera baada mechi na West Ham.
Previous
Next Post »