THAMINI UHAI YAKABIDHI PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI 40 MIL KWA MGANGA MKUU MKOA WA KIGOMA - Rhevan Media

THAMINI UHAI YAKABIDHI PIKIPIKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI 40 MIL KWA MGANGA MKUU MKOA WA KIGOMA



Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma Paul Chaote (kushoto) akikabidhi funguo ya pikipiki kwa Vitus Bukombe Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Ilagala (kati kati) ikiwa ni moja ya pikipiki tisa zilizotolewa na shirika la Thamini Uhai kwa vituo vya afya mkoani Kigoma kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kukabiliana na vifo vya mama wajawazito na watoto wakati wa kujifungua anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Thamini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Thaimini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya pikipi tisa zenye thamani ya shilingi milioni 40 zilizotlewa na shirika hilo kwa serikali ya mkoa Kigoma (wa pili kushoto mstari wa mbele) Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma,Dk.Paul

Previous
Next Post »