RICK ROSS ATANGAZA UJIO WA ALBUM MPYA - Rhevan Media

RICK ROSS ATANGAZA UJIO WA ALBUM MPYA

Rapper Rick Ross ametangaza ujio rasmi wa album yake mpya, “Rather You Than Me” inayotoka kupitia label ya Epic Records.
rozay
Album hiyo itatoka mwakani na na itakuwa album ya kwanza ya Rozay baada ya kutoka Def Jam ambapo alipotoa album yake ya mwisho ya “Black Market”, ilifika hadi namba 6 kwenye chati za Billboard 200 mnamo December 2015.
Rozay hivi karibuni ametoa wimbo mpya akiwa na 2 Chainz na Gucci Mane, “Buy Back the Block,” ambao nao utakuwepo kwenye album hiyo mpya.
Previous
Next Post »