SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO - Rhevan Media

SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO


Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika (wa tatu kushoto), akizungumza na wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga mkoani Morogoro wakati alipofika kituoni hapo kutoa msaada wa vitu mbaimbali vyakula, vifaa vya usafi, nguo pamoja na sabuni za kufulia.
Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo, Bw. Ally Masaninga, wakigawa mifuko yenye vyakula kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Fungafunga Mkoani Morogoro.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde (kushoto) akimkabidhi fulana Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga, Bi. Yolanda Komba wakati SSRA ilipotembelea kituo hicho hivi karibu. 



Previous
Next Post »