Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la
Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali Fan Changlong mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
ujumbe wake akiongoza mazungumzo rasmi na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni
kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) Jenerali Fan
Changlong aliyeambatana pia na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Makamu
Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya Ulinzi ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa
China (PLA) Jenerali Fan Changlong mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Maafisa wa ngazi za
juu wa Jeshi la Watu wa China(PLA) pamoja na Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ).
Sign up here with your email