Kituo cha runinga cha MTV Base kimeyataja majina ya wasanii
kumi wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwa sasa
nchini.
![microphone](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vond42wpVWwq_it55iqmNbJwfdX44z8dO8-CeVLqCWBLFKNt8pKEc9JGEvme_cbzOoGaE3n3OFzGoJfd56pjZKEoUOtnGjzCJrNen9ah6iZDsQ1COt73mlYVKfRPRxZJ2bIWqvQHlU_zn8gSp8PPOfvVZFeC1LYOc5uBjXX_Q=s0-d)
Namba moja ya orodha hiyo imeshikiliwa na rapper Fareed Kubanda aka Fid Q huku kundi la Weusi likifanikiwa kuingiza wasanii watatu kwenye ordha hiyo. Tazama orodha kamili hapa chini.
1)Fid Q
2)Joh Makini
3)AY
4)Mwana FA
5)ROMA
6)Mr. Blue
7)Nick wa Pili
8)G Nako
9)Prof Jay
10)Chindo Man

Sign up here with your email