Mawaziri wakuu
wastaafu wawili nchini Ufaransa walilumbana katika mdaalo wa Televisheni
baada ya uteuzi wa mgombea wa urais wa mrengwa wa kulia wa chama cha
Pepublican.
Francois Fillon, hakujarajiwa kushinda awamu ya kwanza
ya kura zilizopigwa na kumlalamikia Alan Juppe kwa kuonyesha misimamo
yake ya kale.Bwana Juppe amesema kuwa mipango ya mpinzani wake ikiwemo suala la kupunguzwa kwa bajeti ilikuwa mibaya.
Mwakilishi kutoka Paris anasema atakayeteuliwa katika chama cha Republican pamoja na mgawanyiko wa uongozi wa chama cha Socialist atambambana na kiongozi Marine Le Pen wa mrengwa wa kulia katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Mei mwakani.
Sign up here with your email