BAADA YA WCB KUTOA WIMBO , OMMY DIMPOZ ATOA MAPOVU , DIAMOND AMJIBU NA KUVUJISHA SIRI YA UGOMVI WAO - Rhevan Media

BAADA YA WCB KUTOA WIMBO , OMMY DIMPOZ ATOA MAPOVU , DIAMOND AMJIBU NA KUVUJISHA SIRI YA UGOMVI WAO

Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze tabia za kipunga


Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo

Previous
Next Post »