TIMU YA MAJESHI YAKABIDHIWA BENDERA TAYARI KWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI - Rhevan Media

TIMU YA MAJESHI YAKABIDHIWA BENDERA TAYARI KWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI


Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Meja Generali Issa Nassoro (kushoto) akimkabidhi Bendera Mkuu wa Msafara wa timu teule za Jeshi, Brigedia Generali, Jairos Mwaseba, atakayeongoza timu itakayoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki yanayoanza Agosti 5 hadi 18 Kigali Rwanda. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam Agosti 3. 2016. (Picha na Seleman Semunyu, JWTZ).




Previous
Next Post »