NJAA KALI YAJA - Rhevan Media

NJAA KALI YAJA

1

SABABU ya Rais John Magufuli kusema hatagawa chakula kwa wananchi watakaokumbwa na njaa, ni kutokana na serikali kutokuwa na akiba ya kutosha, anaandika Shaaban Matutu.
Rais Magufuli ametoa agizo kwa wananchi kuzalisha chakula cha kutosha lakini David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini amefichua uhaba wa chakula mwishoni mwa wiki katika kongamano lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) la “kupiga vita umasikini ili kufanikisha uzalishaji na matumizi endelevu.”
Kafulila anasema, Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya kila mwezi; ya Mwezi wa Tano inaonesha akiba ya chakula ya Aprili mwaka huu ilikuwa…..
Kwa habari zaidi soma Gazeti la MwanaHALISI la leo tarehe 15 Agosti 2016 Toleo No. 352
Soma gazeti la MwanaHALISI kila Jumatatu kwenye simu yako kupitia, (bonyeza)> Mpaper kwa wateja wa Vodacom pia (bonyeza)> Simgazeti kwa wateja wa Vodacom, Tigo na Airtel.
Previous
Next Post »