NEWS ALERT : WASANII UDE UDE NA IQU JUNIOR WAFARIKI DUNIA. - Rhevan Media

NEWS ALERT : WASANII UDE UDE NA IQU JUNIOR WAFARIKI DUNIA.

Taarifa kutoka Tanga zinaripoti kuwa.wasanii wawili wa mziki wa bongo fleva walikuwa chini ya lebel ya sharobaro records ude ude na iqu junior wameuliwa kwa risasi maeneo ya kiwanda cha cement cha sungura Tanga kwa kosa la ujambazi ambapo walikuwa wanakimbizwa na mapolisi. Bado ripoti za kiintelenjisia toka kwa mkuu wa polisi wa Tanga haijathibitisha tukio ili.

Ude Ude ni nani
Huyu ni msanii na mwandishi wa mziki wa bongo fleva hashawahi andika nyimbo kadha za wasanii tofauti km single boy ya ali kiba, wangu ya lady jaydee ft mr blue, Lofa by Top C na yeye pia alishawahi toa nyimbo yke itwae ngoma inogile

Iqu Junior
Huyu ni msanii na mpiga picha moja kati alishawatoa wimbo uitwae nisamehe ft ali kiba cha kusikitisha ni kuwa n miezi kadha toka jamaa kufunga ndoa
1470263509681.jpg

Ikumbukwe n miezi kadha nyuma bob junior aliitwa mbaroni na kuhojiwa kuhusu shutuma za ujambazi pia.

1470263229940.jpg

1470263062490.jpg

1470263257134.jpg
Previous
Next Post »