Mchungaji wa South Africa Alfred Ndlovu (44) amefariki baada ya
kufunga usiku na mchana kwa siku thelathini akitaka kuvunja record ya
Yesu Kristu aliyefunga siku Arobaini usiku na mchana bila kula wala
kunywa kitu chochote.
Mchungaji Alfred aliondoka nyumbani kwake tarehe 17/6/2016 na kuelekea nyikani kwa ajili ya kufunga na kuomba, huku akiweka nia kwa Mungu na kujitenga na anasa za ulimwengu. Mchungaji huyu alijulikana kwa imani yake thabiti na familia yake pamoja na jamii iliyomzunguka waliamini imani yake ingeweza hata kuhamisha milima. Kifo chake kimeishangaza jamii nzima likiwemo Kanisa alilokuwa akihudumu.
Akijaribu kufunja record ya Yesu Kristu, Mchungaji Ndlovu alifariki baada ya kufunga kwa takribani mwezi mzima japokuwa hakuwahi kuripotiwa kuwa na ugonjwa wowote. Alikuwa peke yake nyikani na maiti yake ilionwa na mpita njia aliyetoa taarifa police.

Sign up here with your email