FILE -An April 14, 2015 photo shows drivers in queues
of traffic on a highway in downtown Nairobi, Kenya. Taxi operators want
Kenya's government to stop ride-sharing app Uber's operations.
Shirikisha
Takriban juma moja baada ya Shirika la Uber nchini Kenya
kupunguza ada zake za nauli kwa wateja wake jijini Nairobi kwa asilimia
35%, siku ya Jumanne jijini humo washirika wake ambao ni madereva na
wamiliki wa magari wanaotumia mtandao wake wameandamana kulalamikia
kupunguzwa kwa ada hizo pasi kuhusishwa katika mashauriano.