MACHINGA WAFUNGA BARABARA KARIAKOO - Rhevan Media

MACHINGA WAFUNGA BARABARA KARIAKOO

image.jpeg image.jpeg
  image.jpegHii ndio hali halisi K'koo hasa katika mitaa wa Kongo na Msimbazi.Machinga baada ya kuruhusiwa kwa kauli rasmi ya Rais warudi kufanya biashara. Katika barabara na vichochoro vya K'koo hali imekuwa kama hivi kwenye picha,kila sehemu imejaa.

Barabara zimeziba tofauti na week moja iliyopita mabapo mtaa wa Kongo na Msimbazi ilikuwa inapitika kwa urahisi.Hatari zaidi ni katika barabara ya Msimbazi ambapo machinga wengi wamemwaga bidhaa karibu na barabara za mabasi ya mwendo kasi na barabara za magari na hivyo kuleta hatari ya kutokea kwa ajali.Sasa Machinga wasio na vizimba wanatumia magari yaliyoegeshwa kama sehemu ya kutunduka bidhaa zao
Previous
Next Post »