AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU YASABABISHA VIFO MOROGORO. - Rhevan Media

AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU YASABABISHA VIFO MOROGORO.


Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la VETA DAKAWA mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa, kaa karibu na millardayo.com kupata taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.

Previous
Next Post »