WENYEWE UKIMWI SASA KUWEKWA ALAMA. - Rhevan Media

WENYEWE UKIMWI SASA KUWEKWA ALAMA.

Wanaougua UKIMWI Afrika Kusini kuwekwa tattoo  'sehemu nyeti' Serikali ya Afrika Kusini yapitisha sheria itakayowaruhusu madaktari kuweka tattoo katika maeneo ya sehemu zao za siri kwa watu walio na virusi vya UKIMWI.

Rais Jacob Zuma alitia saini muswada huo na kuonekana kuwa hatua kubwa katika historia ya mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI .
Kwa mujibu wa muswada huo mtu yeyote atakayepimwa na kupatikana na virusi vya maradhi hayo atapata nasaha ,dawa pamoja na alama ya 'HIV +' kwa maandishi katika maeneo hayo kuthibitisha ugonjwa wake .
Previous
Next Post »