Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi
akikata utepe kuashiria kuzindua Ofisi ya Baraza la Ardhi la Wilaya ya
Lushoto Mkoa wa Tanga ambako wakazi wa wilaya hiyo walikuwa wakilazimika
kusafiri umbali mrefu kwenda wilayani Korogwe kuitafuta haki yao pindi
wanapokumbwa na utata katika ardhi.
Waziri
Lukuvi akikagua Ofisi mpya ya Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani
Lushoto mkoani Tanga baada ya kuizindua jana asubuhi.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwahutubia
wananchi wa wilayani Lushoto mara baada ya kuzindua ofisi mpya za Baraza
la Ardhi wilayani Lushoto jana.
Sign up here with your email
