Takriban watu 30 wameaga dunia nchini China, baada ya basi moja kupata ajali na kisha kushika moto.
Ajali
hiyo ilitokea katika mkoa wa Hunan wakati basi hilo lilikuwa
likiwasafirisha zaidi ya watu 50 liliponga vizuizi katika barabara kuu.Mafuta yaliyokuwa yakivuja yananaminiwa kusababisha moto huo. Polisi wamemkamataka dereva wa basi hilo.
Sign up here with your email