PROFESA MKILAHA AJIPIGA RISASI KWA BAHATI MBAYA NA KUFA WAKATI AKISAFISHA BASTOLA YAKE rhevanstudio 18:19:00 rhevanstudio Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na kufariki. Mungu amlaze mahali pema peponi!! RIP PROF. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email