Usiku wa June 26 ndio tuzo za muziki za BET zinamalizika kutolewa kwa mwaka 2016. Kila mtu ametokelezea kivyake mtu wangu. Hizi ni baadhi ya picha za wasanii katika Redna Gray carpet pamoja na nje ya ukumbi ambao tuzo zinatolewa Los Angeles Marekani.