
Naibu Waziri Dr Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja mbele ya bendera ya Tanzania na sehemu ya ujumbe.wa Tanzania unaoshiriki mkutano wa ngazi ya juu kuhusu ukimwi, mara tu baada ya kusoma hotuba yake katika Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo mkutano huu wa siku unafanyika.

Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla akizungumza kwa niaba ya serikali kuhusu mafanikio na changamoto ambazo serikali imekuwa ikikabiliana nazo dhidi ya ugonjwa wa ukimwi ni katika mkutano wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu ukimwi unaoendelea hapa Umoja wa Mataifa, Naibu Waziri anaongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano huu.
Sign up here with your email
