BIASHARA HARAMU YASHAMIRI TANZANIA. - Rhevan Media

BIASHARA HARAMU YASHAMIRI TANZANIA.


Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Bi. Mindi Kasiga akizungumza.na waandishi wa habari juu ya biashara haramu ya binadamu ambayo imekuwa ikiendendeshwa na mtandao wa watu wasiowaaminifu.kwa kuwalaghai mabinti wa Kitanzania kwa kuwaahidi kuwapa ajira nje ya nchi.kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam




Previous
Next Post »