Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la
kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa
habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri
Jijini Dodoma. Katika zoezi hilo Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson
alichangia shilingi milioni tano na Dk. Kigwangalla shilingi milioni
moja.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (katikati) akiosha moja ya magari ya wabunge na Naibu Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) kuwaunga mkono waandishi wa habari katika tukio la
kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa
habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri
Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya
Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kulia) akiosha gari na Miss Tanzania 2014/15, Lilian
Kamazima (kushoto) kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini. Katika tukio hilo Dk. Hamisi Kigwangalla
alichangia shilingi milioni moja.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiosha gari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo
lilifanyika jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima
ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika jana katika
Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Katika tukio hilo Dk. Tulia Ackson
alichangia kiasi cha shilingi milioni moja.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kushoto), Msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel (kulia) na Miss
Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (katikati) wakiosha moja ya magari ya
wabunge na wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima
ya afya waandishi wa habari nchini.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kulia) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono
waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika
jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Bunge Sports, William Ngeleja (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza
kuwapongeza waandaaji wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari
‘Media Car Wash For Health’ asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Tulia Ackson Mwansasu na Mwenyekiti wa kampeni ya Okoa Maisha ya
Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’, Benjamin Thompson
(katikati). Katika zoezi hilo Ngeleja alichangia shilingi laki moja huku
timu ya bunge ikichangia shs milioni moja.
Mwenyekiti
wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For
Health’, Benjamin Thompson (katikati) akizungumza katika zoezi la kuosha
magari kwenye kampeni maalumu ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari
‘Media Car Wash For Health’ ikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa
ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia
Ackson na Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja (kushoto).
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kulia) akizungumza kuwapongeza waandaaji wa kampeni ya Okoa
Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’ asubuhi katika
Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Dk. Tulia alichangia shs milioni tano.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Mwansasu (kushoto) akiosha moja ya magari ya wabunge kuwaunga mkono
waandishi wa habari katika tukio la kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini tukio hilo lilifanyika
jana katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mmoja
wa wasanii wa muziki akijitolea kuosha moja ya magari ya wabunge na
wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini.
Mmoja
wa wasanii wa muziki akijitolea kuosha moja ya magari ya wabunge na
wadau wengine kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya
waandishi wa habari nchini.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (katikati) akimkabidhi hudi ya shs milioni moja Mwenyekiti
wa kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For
Health’, Benjamin Thompson (kushoto) kwa ajili ya kuchangia fedha
kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. Kulia ni Mratibu wa
zoezi hilo.
Miss
Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima (kulia) na Mkurugenzi wa Utafiti na
Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athuman Rehani
(kushoto) wakijitolea kuosha magari kwenye kampeni hizo. NHIF waliosha
gari lao kwa shs 100,000/-Sign up here with your email