MR .BLUE : MIMI NDIO NILIMTOA ALIKIBA, BANGI ILISABABISHA NIDROP KIMUZIKI. rhevanstudio 23:35:00 rhevanstudio Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email