DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ukimya wake wa muda mrefu umewapa jibu mastaa wenzake kwani kuibuka kwake na sinema mpya kumezua gumzo na kumpa heshima ya kuendelea kusimama kama msanii.
Odama ameliambia Wikienda, kuwa
alipoamua kukaa kimya alikuwa na sababu kwani alikuwa ametuliza kichwa
kuhakikisha anaibuka na sinema itakayozidi kumjengea heshima kwa
mashabiki wake.
“Nimeibuka na Mkwe, filamu hiyo imenifanya nijisikie mwenye heshima sana hata kutoka kwa mastaa wenzangu,” alisema Odama aliyewahi kutamba na Sinema kama Jada, Figo, Family War na nyinginezo.
“Nimeibuka na Mkwe, filamu hiyo imenifanya nijisikie mwenye heshima sana hata kutoka kwa mastaa wenzangu,” alisema Odama aliyewahi kutamba na Sinema kama Jada, Figo, Family War na nyinginezo.
Sign up here with your email