Usiku wa kuamkia Jumatatu ya Juni, 27 kumefanyika utoaji wa tuzo za BET 2016 nchini Marekani ambapo mastaa mbalimbali wameibuka na tuzo katika vipengele ambavyo vilikuwa vikishindaniwa.
Msanii aliyeng’aa zaidi katika tuzo hizo ni Beyonce ambaye ameibuka na tuzo nne.
Rhevan Media Imekuandalia orodha ya washindi wa tuzo hizo.
Video of the Year — Beyonce, “Formation”
Best Male R&B/Pop Artist — Bryson Tiller
Best Female R&B/Pop Artist — Beyonce
Best Male Hip Hop Artist — Drake
Best Female Hip Hop Artist — Nicki Minaj
Best New Artist — Bryson Tiller
Best Group — Drake and Future
Best Collaboration — Rihanna featuring Drake, “Work”
Best Gospel — Kirk Franklin
Youngstars Award — Amandla Stenberg
Coca-Cola Viewers’ Choice — Beyonce
Centric Award — Beyonce, “Formation”
Video Director of the Year — Director X
Best Actor — Michael B. Jordan
Best Actress — Taraji P. Henson
Best Movie — “Straight Outta Compton”
Sportswoman of the Year — Serena Williams
Sportsman of the Year — Stephen Curry
Humanitarian Award — Jesse Williams
Lifetime Achievement — Samuel L. Jackson
Best International Act, U.K. — Skept
Best International Act, Africa — Wizkid (Nigeria)
2016 BET Awards - Show
Beyonce aki’peform’ katika utoaji wa tuzo wa BET 2016.