SPIKA WA BUNGE ATIMULIWA BRAZIL. - Rhevan Media

SPIKA WA BUNGE ATIMULIWA BRAZIL.

Cunha


Image copyrightReuters
Image captionCunha anadaiwa kuhujumu uchunguzi wa tuhuma dhidi yake
Mahakama ya Juu nchini Brazil imemsimamisha kazi spika wa Bunge la Congress, ambaye aliongoza harakati za kumvua mamlaka rais Dilma Rousseff.
Spika huyo Eduardo Cunha anashtumiwa kuwa kizuizi cha uchunguzi dhidi ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili.
Previous
Next Post »