PICHA: MAREHEMU ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) AAGWA NA KUZIKWA DODOMA. - Rhevan Media

PICHA: MAREHEMU ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) AAGWA NA KUZIKWA DODOMA.

Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga Enzi za Uhai wake 



Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya Ibada na Kutoa kutoa Heshima za mwisho
Ibada ikiwa inaanza Baada ya Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga kuwasili

Thursday, May 5, 2016


Previous
Next Post »