Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa bunge umeendelea tena leo April 28 2016 ambapo mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na standard Bank ya Uingereza. Katika mambo ambayo zitto ameyazungumzia ni kuhusu Takukuru na kesi za ufisadi nchini ikiwemo ya Ufisadi wa HatiFungani ya Tshs 1.2 trilioni Standard Bank […]
Sign up here with your email
