KONGAMANO LA MAFUNZO YA UFUNDI YANAYOKIDHI VIWANGO BORA KWENYE SOKO LA AJIRA NCHINI LAZINDULIWA JIJINI DAR. - Rhevan Media

KONGAMANO LA MAFUNZO YA UFUNDI YANAYOKIDHI VIWANGO BORA KWENYE SOKO LA AJIRA NCHINI LAZINDULIWA JIJINI DAR.


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira lililoandaiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya washiriki wa kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,wakimsikiliza kwa umakini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila(hayupo pichani)wakati akizindua kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), leo jijini Dar es Salaam.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Prof.Simon Msanjila,akiongea na waandishi wa habari baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la Mafunzo ya ufundi yanayokidhi viwango bora kwenye soko la ajira,lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)jijini Dar es Salaam leo,wapili toka kushoto Mwenyekiti wa bodi ya elimu ya mafunzo,Dkt. Rebecca Sime na Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE),Dkt.Adolf Rutayuga.
Previous
Next Post »