Mhandisi anayesimamia daraja hilo amesikitishwa na kitendo cha kuibiwa kwa KAMERA nne (4) zilizowekwa ili kurekodi mwenendo wa watumiaji wa daraja hilo muhimu.Daraja hili limegharimu shilingi BILIONI 214. Kimkataba, asilimia 25 zinalipwa kwa pesa za Kitanzania na asilimia 75 zinalipwa kwa dola za Kimarekani.
Sign up here with your email