Serikali inatarajia kuanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu watendaji wote kuanzia ngazi za mitaa watakaoshindwa kutii agizo la serikali ya upandaji miti nchi nzima, ili kukabilaina na tatizo la mabadiliko ya tabia nchi ikiwa ni pamoja na kuliokoa taifa lisikumbwe na jangwa.
Sign up here with your email