Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madaktari, Wauguzi na
watumishi wa hospitali ya wilaya ya Ruangwa Aprili 11, 2016. Kushoto
ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM
wa mkoa Lindi, Mzee Mtopa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la mji wa Ruangwa
kukagua hali ya chakula na bei zake Aprili 11, 2016. Alikuwa katika
ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akizungumza baada ya kukabidhi
msaada wa shuka kwa wazazi wanaosubiri kujifungua na waliojifungua
kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa Aprili 11, 2016. Kushoto ni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa
mkoa Lindi, Mzee Mtopa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mabingwa
wa soka wa mkoa wa Lindi , timu ya Namungo FC ya Ruangwa baada ya
kukabidhiwa kombe la ubingwa huo na kuzungumza nao kwenye uwanja wa
michezo wa Ruangwa akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi, Aprili
11, 2016.
Wanawake wa Ruangwa wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakti alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu mjini Ruangwa
Aprili 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wanwake wa Ruangwa baada ya
kuzungumza nao kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu mjini Ruangwa
Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Sign up here with your email