NAIBU WAZIRI WA AFYA AZIDI KUPASUA MAWIMBI. - Rhevan Media

NAIBU WAZIRI WA AFYA AZIDI KUPASUA MAWIMBI.



Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi unaofanywa Hospitalini hapo.

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo ikiwemo Mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya karibu.
DSC_0197
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.
DSC_0210
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0195
DSC_0132
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika Hospitali hiyo ya Hydom.
DSC_0135
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom .

DSC_0073
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika hospitali hiyo
DSC_0101
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa kitengo cha Machi katika Hospitali hiyo ya Hydom.

Previous
Next Post »