WAZIRI JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA WABUNGE WA FINLAND. - Rhevan Media

WAZIRI JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA WABUNGE WA FINLAND.



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira) January Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge la Finland. Wabunge hao wa Kamati ya Fedha wamefanya mazungumzo na Waziri Makamba hii leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli, Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Finland Nchini Tanzania Bw  Mart Akhtsary (kushoto) akitambulisha ujumbe wake.

Previous
Next Post »